Tangaza Biashara yako nasi kwa Matangazo ya aina mbalimbali, Mawasiliano zaidi piga simu namba 0762 578960
Wednesday, October 31, 2012
SHAIBU NNUNDUMA NA SAID MWAMBUNGU WAKISHEREHEKEA
Bw. Shaibu Nnunduma ambaye ni mkurugenzi
mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mbinga, akigonganisha
glass na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu wakati wa sherehe ya
kumuaga aliyekuwa mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Edmund Mjengwa.
No comments:
Post a Comment