Wakulima wa kahawa kikundi cha Unango wilayani Mbinga, Ruvuma wakiwa pamoja na mtaalamu wa mimea na udongo Kaminyoge Mhamerd, wakifuatilia kwa karibu namna ya kuandaa wadudu
waozeshaji watumikao kutengeneza mbolea aina ya Biwi. Mbolea hiyo ambayo ni ya asili utengenezaji wake huchukua siku 45 na baada ya hapo tayari inaweza kutumika kwa kuwekwa mashambani. |
No comments:
Post a Comment