Mbunge wa jimbo la Mbinga Mashariki, Gaudence Kayombo akizungumza katika semina ya siku moja ya Wadau wa kahawa ukumbi wa Jimbo katoliki Mbinga mjini, ambayo inaendeshwa na benki ya NMB, ambapo aliiomba benki hiyo katika kuboresha huduma zake iongeze kwa kujenga mashine za kutolea fedha (ATM) katika maeneo mbalimbali mjini humo, ili kupunguza msongamano wa watu katika benki hiyo. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Mbinga, Senyi Ngaga na kushoto ni Meneja wa Kanda ya kusini wa NMB, Lillian Mwinula. |
No comments:
Post a Comment