![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
| Gadi ya "Komando" la vijana likiwajibika kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
| Onesho la ndege za kivita kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
| Onesho la mbwa wa polisi kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
| Onesho la Komandoo wawili kuvuta lori la tani 7 kwa mikono kwenye sherehe za miaka 53 ya muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
| Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.(Picha zote na Ikulu) |



No comments:
Post a Comment