![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Rais Dokta John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wakiwa katika hali ya majonzi wakati wa mazishi hayo. (Picha zote na Ikulu) |





No comments:
Post a Comment