Wednesday, October 31, 2012

EDMUND MJENGWA YULEE AKIAGA MBINGA


 Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Bw. Edmund Mjengwa akizungumza wakati wa sherehe yake ya kumuaga iliyofanyika Mbinga mjini mkoani humo. katikati ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu na kulia mkuu mpya wa wilaya hiyo Bi. Senyi Ngaga.

No comments: