Wednesday, October 31, 2012

SHAIBU NNUNDUMA NA SAID MWAMBUNGU WAKISHEREHEKEA


 Bw. Shaibu Nnunduma ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mbinga,   akigonganisha glass na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu wakati wa sherehe ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Edmund Mjengwa.

No comments: