Wednesday, October 31, 2012

WAKUBWA WAKIFURAHIA KUGONGANISHA GLASS

Kushoto mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Bw. Ernest Kahindi, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya mbinga Edmund Mjengwa, mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, mkuu mpya wa wilaya Mbinga Bi. Senyi Ngaga na Mama Hanab Mwambungu (Mke wa mkuu huyo wa mkoa wa Ruvuma) wakijiandaa kugonga cheer's wakati wa sherehe ya kumuaga Bw. Mjengwa jana Mbinga mjini.

No comments: