Saturday, August 3, 2013

MWAMBUNGU ASHIRIKI MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI RUVUMA

Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu, akisikiliza kwa makini wakati aliposhiriki mkutano wa waandishi wa habari wa mkoas huo, kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti, kulia ni Mwenyekiti wa waandishi wa habari wa mkoa wa Ruvuma, Andrew Kuchonjoma. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea. 

No comments: