Saturday, August 3, 2013

WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WAASWA KUACHA MIGOGORO

Mwenyekiti mstaafu Juma Nyumayo wa chama cha waandishi wa habari mkoani Ruvuma, akichangia jambo katika mkutano wa Waandishi wa habari ambapo aliwataka waandishi wa mkoa huo kuacha migogoro na kujenga mshikamano katika kazi zao, kushoto ni afisa habari kutoka ofisi ya Mkuu wa mkoa huo, Revocatus Kassimba akifuatilia jambo katika mkutano huo.
s

No comments: