Saturday, August 3, 2013

WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WASISITIZWA KUFUATA MAADILI YA KAZI ZAO

Mwandishi wa habari, Cresensia Kapinga akichangia hoja katika kikao cha waandishi wa habari wa mkoa wa Ruvuma, ambapo alisisitiza waandishi tufuate maadili yetu ya kazi, ili kuweza kuepukana na matatizo yanayoweza kujitokeza hapo baadaye.

No comments: