Thursday, July 4, 2013

RUVUMA PRESSCLUB YATEMBELEWA NA MJUMBE KUTOKA UTPC


  Kutoka upande wa kushoto ni Katibu wa Ruvuma Press Club Andrew Chatwanga akiwa na mgeni ambaye ni mjumbe wa kutoka UTPC  George Mkude akiwa katika eneo la ofisi za asasi zisizo za kiserikari mkoani wa Ruvuma (RUNECISO) "Ruvuma Network of Civil Society Organization" na aliyeshikwa bega ni Katibu msaidizi wa Ruvuma Press Club Moses Konala na huyo anayefanya tendo la kumshika Konala ni makamu Mwenyekiti wa RUNECISO Adamu Nindi.


 Mgeni kutoka UTPC George Mkude akiwa na viongozi waandamizi wa Ruvuma Press Club kutoka kulia ni Juma Nyumayo mratibu wa RUNECISO, anaye fuatia kutoka kulia ni Moses Konala atibu msaidizi wa Ruvuma Press Club na anayeonyesha kibao ni George Mkude, aliye kushoto kwa Mkude ni Katibu wa Ruvuma Press Club Andrew Chatwanga. 



  George Mkude kutoka UTPC amewataka waandishi wa habari kuwa chachu ya kuleta maendeleo hasa kuangalia watu wanaoishi pembezoni mwa mikoa, ili waweze kujiondoa katika umasikini. 

No comments: