JENGO HILI LIFANYIWE UKARABATI ILI WANAFUNZI WAWEZE KUWA NA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMEA
Hili
ni moja kati ya jengo chakavu la shule ya msingi Masumuni iliyopo
wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma, ambalo halina madirisha na sakafu yake
ni ya vumbi ambapo walimu na wanafunzi wamelalamikia halmashauri ya
wilaya hiyo kutolifanyia ukarabati kwa zaidi ya miaka sita huku
wanafunzi wakiendelea kulitumia wakati wa masomo. (Picha na Kassian
Nyandindi).
KWA UFUPI:
Shule ya Msingi Masumuni ni shule ambayo ipo kata ya Mbinga mjini, nimeshuhudia shule hiyo wanafunzi wanavyotaabika kutokana na tatizo la vyoo na upungufu hata wa madawati ya kukalia wakati wanapokuwa darasani masomoni, ni vyema sasa uongozi husika ukalifanyia kazi suala hili ili kunusuru hali hiyo isiweze kuendelea.
No comments:
Post a Comment