Tangaza Biashara yako nasi kwa Matangazo ya aina mbalimbali, Mawasiliano zaidi piga simu namba 0762 578960
Sunday, November 18, 2012
VIONGOZI WAKIPATA MAELEZO JUU YA KITI KINACHOTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA UPASUAJI
Kaimu mganga mkuu wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma(HOMSO)) Dkt. Benedict
Ngaiza upande wa kulia akiwa na mkurugenzi wa Veta nyanda za juu Bi. Monica Mbele wa pili
kulia, wakiangalia kiti kinachotumika kwa ajili ya shughuli za upasuaji
katika hospitali ya St. Joseph Peramiho. (Picha na Muhidin Amri)
No comments:
Post a Comment