Hili ni jengo la shule ya msingi Lunyere katika kijiji cha Lunyere kitongoji cha Darpori wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, jengo hili linalalamikiwa tokea lijengwe mwaka 2007 hadi mwaka huu ujenzi wake umekuwa ukisuasua. Kamati ya ujenzi ya jengo hilo inalalamikiwa kwa kufanya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 6 ambazo zilichangwa na wakazi wa kijiji hicho kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo hilo. (Picha na Kassian Nyandindi)
Tangaza Biashara yako nasi kwa Matangazo ya aina mbalimbali, Mawasiliano zaidi piga simu namba 0762 578960
Thursday, November 1, 2012
UBADHIRIFU WA MICHANGO YA WANANCHI WAKAMWISHA MAENDELEO
Hili ni jengo la shule ya msingi Lunyere katika kijiji cha Lunyere kitongoji cha Darpori wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, jengo hili linalalamikiwa tokea lijengwe mwaka 2007 hadi mwaka huu ujenzi wake umekuwa ukisuasua. Kamati ya ujenzi ya jengo hilo inalalamikiwa kwa kufanya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 6 ambazo zilichangwa na wakazi wa kijiji hicho kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo hilo. (Picha na Kassian Nyandindi)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment