Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli afungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakipeana mikono baada ya Rais kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017. |





No comments:
Post a Comment