Saturday, June 8, 2013

MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA

  
Khadija Kopa.
















Na Kassian Nyandindi,

MUME wa mwimbaji maarufu wa Taarabu Tanzania, Khadija Kopa amefariki dunia.

Mauti yamemkuta katika hospitali ya Lugaro Jijini Dar Es Salaam.

Aliyefariki dunia, mume wa Khadija Kopa anaitwa Jaffari kutokana na ugonjwa wa pumu, na mazishi yamefanyika jana jijini humo. (Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu.)

No comments: