Monday, January 11, 2016

TASWIRA KATIKA PICHA: HEKA HEKA ZA UTAFUTAJI VIFAA VYA SHULE

Baadhi ya wazazi,walezi na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamesongamana katika duka la Abbas Bookshop and Stationary lililopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, kwa ajili ya kununua vifaa vya shule ikiwa sehemu ya maandalizi ya kufunguliwa kwa shule baada ya kumaliza likizo ndefu kama kamera yetu ilivyowanasa. (Picha na Julius Konala)

No comments: