Thursday, January 17, 2013

WAKULIMA WA KAHAWA MBINGA WAPEWA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MBOLEA ZA ASILI

Wakulima wa kahawa kikundi cha Unango wilayani Mbinga, Ruvuma wakiwa pamoja na mtaalamu wa mimea na udongo Kaminyoge Mhamerd, wakifuatilia kwa karibu namna ya kuandaa wadudu waozeshaji watumikao kutengeneza mbolea aina ya Biwi. Mbolea hiyo ambayo ni ya asili utengenezaji wake  huchukua siku 45 na baada ya hapo tayari inaweza kutumika kwa kuwekwa mashambani.

No comments: