Thursday, January 17, 2013

WAKULIMA WA KIJIJI CHA UNANGO WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KUTENGENEZA MBOLEA ZA ASILI

Wakulima wa kijiji cha Unango wilayani Mbinga, Ruvuma wakiwa mbele ya mbolea aina ya Biwi ambayo ni ya asili waliyoitengeneza kwa ajili shamba darasa kwa lengo la kuboresha mashamba yao ya kahawa. Utengenezaji wa mbolea hizo wamefanikiwa baada ya kupewa mafunzo na kampuni ya Sustainable Harvest ya kutoka makao makuu yake wilayani Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

No comments: