Thursday, January 17, 2013

WAKULIMA WAKIPEWA MAFUNZO NAMNA YA UTUNZAJI BORA WA KAHAWA

Mtaalamu wa mimea na udongo kutoka kampuni ya Sustainable Harvest wilayani Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Kaminyoge Mhamerd akiwafundisha baadhi ya wakulima wilayani Mbinga, Ruvuma mbinu bora za kupogolea miti ya kahawa.

No comments: