Thursday, January 17, 2013

WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KUDHIBITI UBORA WA KAHAWA

     Mtaalamu wa mimea na udongo Kaminyoge Mhamerd upande wa kushoto, akiwa na wanakikundi cha Lumeme asili wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma, wakifuatilia mafunzo ya kudhibiti ubora wa kahawa yaliyokuwa yakiendeshwa na mtaalamu huyo kijijini humo.


No comments: