Friday, May 10, 2013

ABIRIA MJINI IRINGA WAKIHANGAIKA KUTAFUTA USAFIRI

Jinsi gani hali ilivyokuwa tete mjini Iringa, baada ya madereva wa daladala kugoma kusafirisha abiria, hapa abiria wakionekana wakibadilishana mawazo namna ya kupata usafiri wa kwenda katika maeneo yao ya kazi.(Picha na Francis Godwin)

No comments: