Monday, May 20, 2013

MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO CHA WABUNGE WA CCM MJINI DODOMA LEO

 
Wabunge wakifurahia jambo nje ya ukumbi wakati wa mkutano huo, Kutoka kushoto ni Dkt. Mary Mwanjelwa,  Ritha Kabati, Angela Kairuki, Beatrice Shelukindo na Vicky Kamata.
Shabiby akizungumza na Angela Kairuki.
Vicky Kamata na Ana Kilango Malecela wakiwa ukumbini.
Dkt. Asha Rose Migiro akimsalimia Mama Anna Kilango Malecela.
Dkt. Maua Daftari na Samiah Suluhu wakiwa ukumbini.
Job Ndugai akimpongeza Mbunge wa Igunga Dkt. Dalaly Peter Kafumu kurejeshewa Ubunge.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dkt. Asha Rose Migiro akimsalimia Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa wakati wa kikao hicho cha Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete na wabunge wa CCM.


Mbunge wa Kyela Dkt. Harrison Mwakyembe, akimsikiliza kwa makini Mbunge mwenzake Innocent Kalogeris  wakati wa mkutano huo. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: