Tuesday, May 7, 2013

BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA WA RUVUMA, NAYO IKIFUATILIA KWA UMAKINI SEMINA YA RUSHWA ILIYOHUSISHA VIONGOZI WA DINI WA NYANDA ZA JUU KUSINI

Kushoto ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Deusdedith Nsimeki, akiwa na safu ya Kamati ya ulinzi na Usalama ya huo katika semina ya Rushwa ya viongozi wa Dini wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, iliyoendeshwa na Mkurugenzi wa TAKUKURU nchini Edward Hosea. Wa tatu kutoka kushoto ni Afisa kutoka idara ya uhamiaji mkoa wa Ruvuma Koku Rwebandiza.(Picha na Mwandishi wetu)

No comments: