Friday, March 3, 2017

TUKIO KATIKA PICHA: MBUNGE WA TUNDURU KUSINI AWATAKA WANANCHI WAKE KUZINGATIA MAAGIZO YA SERIKALI

Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini wilayani Tunduru mkoa wa Ruvuma, Daimu Mpakate (katikati) akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) ya kutembelea mto Muhuwesi uliopo wilayani humo ambapo aliwataka wananchi wa jimbo hilo kuzingatia maagizo yaliyotolewa na serikali juu ya zuio la kuacha shughuli za uchimbaji wa madini, katika mto huo hadi hapo maelekezo mengine yatakapotolewa na serikali.

No comments: