Wednesday, May 4, 2016

TUJIKUMBUSHE YALIYOJIRI SIKU YA BONANZA LA VIJANA UWANJA WA TAIFA MBINGA MJINI


Wachezaji wa timu ya soka ya NMB tawi la Mbinga, wakiwa na nyuso za furaha katika picha ya pamoja siku ya maadhimisho Bonanza la vijana wa Mbinga baada ya kuibuka kidedea na kuicharaza mabao 2 kwa 1 Timu Bonanza ya mjini hapa, mchezo ambao ulifanyika Aprili 24 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa Mbinga mjini. (Picha na gwiji la matukio Ruvuma)


No comments: