Tuesday, July 12, 2016

TASWIRA KATIKA PICHA: RC RUVUMA APANDA JUU YA TENKI LA MAJI KUKAGUA UJENZI WAKE

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge aliyepanda juu ya tenki la maji kwa lengo la kukagua mradi huo ambao unajengwa katika kijiji cha Lukumbule wilayani Tunduru mkoani humo, kwa lengo la kujiridhisha juu ya ujenzi wake baada ya kubaini uwepo wa alama za mivujo ya maji kutoka katika tenki hilo. (Picha na Steven Augustino, Tunduru)

No comments: