Saturday, August 5, 2017

RAIS DOKTA JOHN MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI TANGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga jana.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akilakiwa jana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akisalimia maelfu ya wananchi wa Mkata wakati alipowasili mkoani Tanga.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mkata.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzungumza na wananchi wa Mkata.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akilakiwa aliposimama kuongea na wananchi eneo la Komkonga.
  Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aliposimama kuongea nao eneo la Komkonga.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe akimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli wakati akizungumza na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Wananchi wakiwa na furaha kumuona Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri na ya mfano  katika kuendeleza elimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Robet Gabriel. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri na ya mfano  katika kuendeleza elimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Robet Gabriel.
 Wananchi wa Hale wakimsikiliza Rais Dokta John Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Michungwani.
 Wananchi wakimshangilia Rais Dokta John Magufuli.
 Rais Dokta John Magufuli akisalimiana na wananchi wa Kabuku.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akifurahia vazi la mwananchi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akifurahia vazi la mwananchi.
 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita. 
 Wenyeji kwa wageni wakifurahia ujio wa Rais Dokta John Pombe Magufuli.
 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita. 
 Rais Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi eneo la Hale.
 Wananchi wenye furaha wakimsikiliza Rais Dokta John Pombe Magufuli.
 Wengi walitumia simu zao za mkononi kumrekodi Rais Dokta John Pombe Magufuli.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza kwenye msafara huo. 
 Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu naye akizungumza kwenye msafara huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokto John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo alipowasili wilayani humo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Muheza, Adadi Rajabu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa Muheza.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akisoma mabango alipowasili wilayani Muheza.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahmana Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahmana Kinana akizungumza katika  mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa meza kuu na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahmana Kinana akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba  katika  mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Muheza.
 Wananchi wa Muheza wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani aka 'Profesa Maji Marefu' akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso akisalimia wananchi.
  Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda akisalimia wananchi.
 Mbunge akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Omari Kigoda akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Muheza, Adadi Rajabu akisalimia wananchi.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Muheza.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akiagana na Profesa Maji Marefu.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na baadhi ya watoto waliokuwepo kwenye mkutano wake wa hadhara Muheza.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimsikiliza diwani wa Pongwe, Mbaraka Saadi Mbaraka akimuelezea changamoto za eneo lake.
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimpongeza diwani wa Pongwe, Mbaraka Saadi Mbaraka aliyemuelezea kwa ufasaha changamoto za eneo lake.
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimsifia diwani wa Pongwe, Mbaraka Saadi Mbaraka kwa kumuelezea changamoto za eneo lake. 
 Wananchi na diwani wa Pongwe, Mbaraka Saadi Mbaraka wakifurahia umauzi wa Rais wa kujengwa kituo cha mabasi katika eneo lao.               (Picha zote na Ikulu)

No comments: