Monday, August 7, 2017

STENDI YA MABASI KOROGWE MJINI TANGA YAFUNGULIWA LEO NA RAIS DOKTA MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa kituo hicho cha kisasa cha mabasi Korogwe mjini mkoani Tanga.
Pichani hili ni eneo jipya la stendi kuu ya mabasi Korogwe mjini mkoani Tanga ambalo limefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa kituo cha kisasa cha mabasi Korogwe mjini mkoani Tanga, ufunguzi ambao umefanyika leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akiagana na wananchi mara baada ya kufungua kituo cha kisasa cha mabasi Korogwe mjini mkoani Tanga.
(Picha na Ikulu)

No comments: