Monday, February 5, 2018

RAIS DOKTA MAGUFULI AONGOZA MAZISHI YA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli leo akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alli Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dokta jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi ya marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alli Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dokta jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi ya marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Dokta John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wakiwa katika hali ya majonzi wakati wa mazishi hayo. (Picha zote na Ikulu)

No comments: