Sunday, February 18, 2018

TUNDURU WANUFAIKA NA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO


Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho kinachofahamika kwa jina la Korosho Africa Limited kilichopo katika Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, wakiendelea na kazi zao kama walivyonaswa na kamera yetu ambapo wakazi zaidi 750 kutoka ndani ya Wilaya hiyo wameweza kupata ajira katika kiwanda hicho kinachotajwa ndiyo mkombozi mkubwa hasa kwa watu maskini Wilayani hapa.

No comments: