Monday, February 8, 2016

AHADI YA MAGUFULI SHILINGI BILIONI 12.3 UENDESHAJI MAHAKAMA YATIMIA LEO

Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango (Katikati) akiwakabidhi Naibu waziri wa katiba na sheria, Amon Mpanju (kulia) na Mtendaji mkuu wa Mahakama Tanzania, Hussein Kattanga cheki ya shilingi Bilioni 12 na milioni mia tatu ikiwa ni kutimiza ahadi  ya Rais Dkt. John Pombe Josef Magufuli aliyoahidi siku alipokuwa mgeni rasmi siku ya Mahakama hapa nchini ikiwa ni siku tano tangu alipotoa ahadi hiyo.


No comments: