Tuesday, February 16, 2016

WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU JENISTA MHAGAMA ATEMBELEA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mayuyu, wilayani Rufiji wakati alipofika kijijini humo kukagua athari za maafa ya mafuriko.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama akieleza maamuzi ya serikali kupeleka chakula cha msaada kwa waathirika wa maafa ya mafuriko wa kijiji cha Ikwiriri wilayani Rufiji, Februari 16 mwaka huu alipokuwa katika ziara ya kukagua athari za maafa hayo wilayani humo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu)

No comments: