Tuesday, November 7, 2017

RAIS DOKTA MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA KYAKA BUGENE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli afungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakipeana mikono baada ya Rais kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wakimsaidia kushika utepe anaoukata kama ishara ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akimjulia hali Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akijumuika katika sala na Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto na binti yao Lucy Kazimoto alipomtembelea kumjulia hali baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa mjini Bukoba waliomsimamisha ili awasalimie wakati akirejea kutoka Karagwe kwenye sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017. (Picha zote na Ikulu)

No comments: