Tuesday, May 26, 2015

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu, Damian Lubuva.

Na Mwandishi wetu,

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015.
Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo mbele ya waandishi wa habari, Jaji Damian Lubuva alisema kwamba;

v Agosti 21 – 2015: kutakuwa na uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
v Agosti 22 – Oktoba 24, 2015: kutafanyika kampeni za uchaguzi.
v Oktoba 25 – 2015: itakuwa ni siku ya kupiga kura.

No comments: