Friday, November 6, 2015

MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MASAJU KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Rais Dokta John Magufuli leo asubuhi akimuapisha, George Mcheche Masaju kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments: