Wednesday, June 21, 2017

DOKTA MWAKYEMBE AKUTANA NA WASANII WA FILAMU NA WAANDISHI WA HABARI WA A FM BUNGENI DODOMA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) akiwa na Waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea leo Bungeni Dodoma.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya walipowatembelea leo Bungeni.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja Waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea leo Bungeni Dodoma.

No comments: