Tuesday, June 13, 2017

RAIS DOKTA MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na Wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es salaam.

No comments: