Thursday, June 8, 2017

WANANCHI WALIOVAMIA HIFADHI YA MBARANG'ANDU NAMTUMBO WATAKIWA KUONDOKA

Mkuu wa mkoa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge wa pili kutoka kulia akiwa katika hifadhi ya msitu wa jumuiya ya Mbarang'andu wilayani Namtumbo mkoani humo, wakati alipokuwa akizungumza na wananchi (Hawapo pichani) hivi karibuni ambao walikuwa wakikaidi kuondoka katika hifadhi hiyo ambapo aliwataka kuondoka mara moja kwenye maeneo ya hifadhi hiyo mpaka ifikapo Juni 30 mwaka huu na ambaye hataondoka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. (Picha na Yeremias Ngerangera)

No comments: