Wednesday, June 14, 2017

RAIS DOKTA MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada aliyekuwa upande wa kushoto, leo Ikulu Jijini Dar es salaam. Kutoka kulia ni Balozi wa Canada hapa nchini Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John Thornton akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam. Upande wa kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.

No comments: