Thursday, June 22, 2017

RAIS DOKTA MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA MATUNDA SAYONA CHALINZE MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha Viuadudu cha Kibaha mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Matunda cha Sayona Fruits, kilichopo Mboga Chalinze mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Kiwangwa wakati akielekea kufungua barabara ya Bagamoyo - Msata mkoani Pwani. (Picha na Ikulu)

No comments: