Friday, September 1, 2017

GWIJI LA MATUKIO RUVUMA BLOG INAWATAKIWA WAISLAMU WOTE EID MUBARAK

UONGOZI wa GWIJI LA MATUKIO RUVUMA, unawatakia kheri na amani kwa Waislamu wote nchini na nje ya nchi katika kusherehekea Eid Mubarak.

Mkurugenzi Mkuu wa Gwiji la Matukio Ruvuma Kassian Nyandindi kwa niaba ya uongozi wote wa Blog hii, tunawaomba Watanzania wote kusherehekea kwa utulivu bila kuhatarisha amani kwa kufanya matendo yasiyompendeza Mwenyezi Mungu.


Asanteni sana,
Tutaendelea kuwahabarisha kwa kuzingatia ukweli wasomaji wetu kupitia mtandao huu.   

No comments: