Wednesday, September 13, 2017

JAMBAZI SUGU LAUAWA KIBITI

JESHI la Polisi Septemba 12 mwaka huu, Kivule chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu aitwae Anae Rashid Kapela aliyekuwa akitafutwa na jeshi hilo kwa muda mrefu, akituhumiwa kushiriki matukio mbalimbali ya ujambazi likiwemo la mauaji ya Polisi wanane wilayani Kibiti.


Hayo ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Mambosasa alipokuwa akizungumza na waandishi habari Jijini Dar es Salaam.

No comments: