Friday, September 1, 2017

MAHAKAMA YA JUU KENYA YATENGUA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS

MAHAKAMA ya juu zaidi nchini Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa Rais hivyo uchaguzi utarudiwa tena ndani ya siku 60 kwa mujibu wa katiba;


1.Uchaguzi haukufanyika kwa taratibu zote zilizotakiwa kulingana na katiba
2. Utaratibu haukufuatwa katika usafirishaji wa matokeo
3. Kulikuwa na kasoro kadhaa za uchaguzi

No comments: