Friday, March 9, 2018

PICHA ZA MATUKIO MAZISHI YA MUASISI WA TANU MAREHEMU COSTANTINE MILLINGA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christine Mndeme akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. 

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma, Cosmas Nshenye akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. 



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma, Beda Hyera akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo.      

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma, Gombo Samandito akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. 
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma, Robert Mageni akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. 
Meya wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, Abdul Mshaweji akiweka shada la maua kwenye kaburi la Muasisi wa TANU, Marehemu Costantine Millinga mara baada ya mazishi yake kufanyika jana katika maeneo ya nyumbani kwake Marehemu, Mtaa wa Mhekela Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani humo. (Picha zote na Kassian Nyandindi) 


No comments: