Sunday, March 4, 2018

TFS YATOA MILIONI 380 MADABA UJENZI MRADI WA MAJI IFINGA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma, Shafi Mpenda upande wa kulia na Mtendaji mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Profesa Dos Santos Silayo, wakibadilishana hati za mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Ifinga kata ya Matumbi ambapo TFS imetoa zaidi ya shilingi milioni 380 kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo.

No comments: