Thursday, November 1, 2012

ELIMU JUU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA JAMII IENDELEE KUELIMISHWA

Kushoto ni Mwenyekiti wa umoja wa uendelezaji wa milima ya Livingstone (MOLIDA) wilayani Ludewa mkoa wa Njombe Bw. Octavian Msemakweli, akiwaelimisha wananchi wa kijiji cha Mawengi kata ya Mawengi wilayani humo, juu ya umuhimu wa kutunza ardhi, misitu na vyanzo vya maji. (Picha na Kassian Nyandindi)

No comments: