Friday, November 23, 2012

RAIS ATAKA JINA LA NCHI LIBADILISHWE

Rais wa Mexico amewasilisha mswada kwa bunge la Congress kutaka jina rasmi la nchi hiyo kubadilishwa.

Jina la sasa la jimbo la Mexico lilianza kutumiwa mwaka 1924 baada ya kupata uhuru kutoka Uhispania .

Hata hivyo halijakuwa likitumiwa na rais Felipe Calderon anataka libadilishwe na kuwa Mexico tu.

Ripoti zinaonyesha kuwa Bwana Calderon alipendekeza kwa mara ya kwanza jina hilo kubadilishwa mwaka 2003 lakini mswada huo haukupitishwa kwa kura.(BBC News)

No comments: