Tuesday, November 6, 2012

ELIMU YA WATU WAZIMA



Akina mama wa kijiji cha Chiwana wilayani Tunduru wakionesha jinsi walivyofanikiwa kujua kusoma na kuandika, baada ya kujiunga na masomo ya watu wazima wakati wa kilele cha wiki ya elimu ya watu wazima ambayo kiwilaya ilifanyika katika kijiji hicho.

No comments: